Skip to main content
Skip to main content

Rais Samia Suluhu ameapishwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

  • | KTN News
    23,556 views
    Duration: 3:16
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Samia Suluhu Hassan ameapishwa kuwa rais wa jumuiya ya muungano wa Tanzania kuhudumu kwa muhula wa pili katika hafla iliyofanyika mchana wa leo chini ya ulinzi mkali jijini Dodoma. Sherehe ya kuapishwa kwake imefanyika katika uwanja wa kijeshi katika mji mkuu wa Dodoma huku umma ukikosa kuruhusiwa kuhudhuria hafla hiyo iliyopeperushwa moja kwa moja na kituo cha habari cha serikali cha TBC. Samia alitangazwa mshindi jumamosi kwa asilimia 97.6% ya kura hizo. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews