Skip to main content
Skip to main content

Rais Samia Suluhu awaonya wanaochochea vurugu ndani ya Tanzania

  • | BBC Swahili
    48,074 views
    Duration: 59s
    “Sasa tuchague lenye manufaa kwetu kwani usalama wa taifa lolote hulindwa kwa wote, kwa nguvu zote na kwa gharama zozote.” - Rais Samia alitumia fursa hiyo kuwaonya wanaochochea vurugu ndani ya Tanzania katika hotuba yake punde baada ya kuapishwa kama rais wa awamu ya sita nchini Tanzania. - - - #uchaguzi2025 #tanzania #maandamano #samiasuluhuhassan #bbcswahiliSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw