Skip to main content
Skip to main content

Shule za Kimataifa za Rophine kutambuliwa kama shule bora zaidi duniani

  • | KBC Video
    169 views
    Duration: 1:21
    Mfumo wa elimu wa Kenya umepata heshima kubwa kimataifa baada ya Shule za Kimataifa za Rophine kutambuliwa kama shule bora zaidi duniani katika elimu ya kisasa ya baadaye, tuzo iliyotolewa katika kongamano kubwa la kimataifa.Afisa Mkuu Mtendaji wa shule hizo, Boniface Owiti, alisema taasisi hiyo itaendelea kuwekeza katika utafiti ili kuboresha viwango vya elimu na kuiweka Kenya kileleni mwa sekta ya elimu duniani. Tuzo hiyo yenye hadhi ya juu ilitolewa baada ya kongamano la ngazi ya kimataifa lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Jimbo la Maryland Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News