Skip to main content
Skip to main content

Samia Suluhu aapishwa upya huku hafla ya kipekee yazua hisia Tanzania

  • | KTN News
    19,674 views
    Duration: 3:16
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Samia Suluhu Hassan ameapishwa mapema leo na kuanza awamu yake ya pili ya uongozi wa taifa hilo, katika uwanja wa jeshi jijini Dodoma katika hafla iliyohudhuriwa na wageni walioalikwa pekee. Kwenye hotuba yake, Suluhu ameshutumu vikali ghasia zilizozuka siku ya uchaguzi akidai kwamba washukiwa waliokamatwa na maafisa wa usalama wanatoka nchi za kigeni huku akiwarai watanzania wazingatie ujamaa. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews