Rais William Ruto amesema Kenya haiwezi kumudu kukopa fedha kutoka kwa wakopeshaji, akitoa wito kwa wabunge kuunga mkono mapendekezo ya kubuni hazina ya utajiri wa kitaifa na hazina ya kitaifa ya miundombinu, mara tu watakaporejelea vikao vya bunge, ili kufanikisha uwezekano wa Kenya kujiunga na orodha ya mataifa yaliyostawi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News