- 164 viewsDuration: 2:50Makala ya nane ya maonesho ya utengenezaji bidhaa humu nchini al-maarufu Changamka yaling’oa nanga leo kwenye jumba la mikutano ya kimataifa la Kenyatta, washiriki zaidi ya 300 wakionesha bidhaa zao. Katibu katika wiizara ya viwanda Dkt. Juma Mukhwana alihimiza jukumu muhimu ambalo Kenya inatekeleza kusukuma ustawi wa viwanda barani Afrika na akawataka watengenezaji bidhaa kuchukua fursa zinazochipuka za uuzaji bidhaa katika mataifa ya kigeni baada ya kuongezwa kwa kipindi cha utekelezaji wa sheria ya ukuaji barani Afrika. Ripota wetu Nduta Mukami ametuandalia taarifa hii na nyingine kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive