- 132 viewsDuration: 3:58Vijana zaidi ya elfu kumi na mbili katika eneo la Magharibi walionufaika na mradi wa serikali wa Nyota wameonywa dhidi ya kujiingiza katika michezo ya kamari na mienendo potovu wanapopata pesa hizo za biashara.. Onyo hilo limetolewa huku uzinduzi wa awamu ya kwanza ya usambazaji wa fedha hizo za kuwakwamua vijana kimapato ukitarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii...