5 Nov 2025 10:55 am | Citizen TV 73 views Duration: 1:55 Zaidi ya wanafunzi 250 kutoka kaunti saba zinazopakana na mbuga ya wanyamapori ya Tsavo wametuzwa kutokana na mchango wao wa kuhifadhi mazingira sawa na wanyamapori.