5 Nov 2025 10:56 am | Citizen TV 124 views Duration: 2:32 Vijiji vya Eneobunge la Tiaty kaunti ya Baringo vimeanza kukumbatia matumizi ya vyoo, hatua ambayo imechangia kupunguza magonjwa yanayosababishwa na kujisaidia ovyo vichakani.