6 Nov 2025 1:07 pm | Citizen TV 2,429 views Duration: 2:31 Katibu wa wizara ya Usalama daktari Raymond Omollo amesema kwamba serikali imewahakikishia Wakenya walioko nchi jirani ya Tanzania Usalama wao, kufuatia maandamano yalioshuhudiwa wakati wa uchaguzi mkuu nchini humo.