6 Nov 2025 1:09 pm | Citizen TV 1,452 views Duration: 2:13 Watu wawili wamefariki, huku wengine watano wakiwa katika hali mahututi hospitalini baada ya kunywa pombe haramu inayokisiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Ngitana, Igembe Kaskazini kaunti ya Meru.