- 204 viewsDuration: 3:56Wanawake waliojiunga katika makundi kwenye eneo bunge la Teso Kaskazini kaunti ya Busia wamehimizwa kujisajili kwenye vyama vya ushirika ili waweze kujikomboa kiuchumi kupitia mikopo ya riba nafuu. Wito huu unajiri mwezi mmoja baada ya makundi hayo ya wanawake kunufaika na michango inayoendelezwa na serikali kuu kote nchini ili kuwakwamua wanawake