Skip to main content
Skip to main content

Maana ya mavazi ya jamii ya Maa

  • | Citizen TV
    1,504 views
    Duration: 7:23
    Watu wengi humu nchini na hata Kimataifa hupenda kuvalia Mavazi ya Jamii ya Wamaasai hasa wanapohudhuria Sherehe za aina mbali mbali. Lakini je unafahamu kuwa unapovaa Mavazi hayo Kila vazi lina umuhimu wake?