Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya pamoja yabuniwa kukomesha uhalifu

  • | KBC Video
    33 views
    Duration: 1:57
    Watawala wa serikali katika kaunti ya Laikipia wamebuni kamati ya pamoja kushughulikia tatizo la kudorora kwa usalama kabla ya msimu wa sikukuu. Kamati hiyo itakayojumuisha wanajamii, maafisa wa usalama na wadau wa sekta ya biashara itakuwa na jukumu la kukomesha visa vya uhalifu ambavyo huongezeka zaidi wakati wa msimu wa sikukuu.Kamati hiyo inatarajiwa kushirikisha juhudi za kulinda amani huku ikiwahimiza wazazi kuwa waangalifu na kuwalinda watoto wao dhidi ya vitendo vya uhalifu wakati huu wa likizo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News