- 114 viewsDuration: 1:41Mawakala wa bima wamehimizwa kukumbatia ubunifu wa kidijitali na kuimarisha hatua za usalama mtandaoni ili kudhibiti uhalifu wa kifedha na kusaidia Kenya kuondolewa kwenye orodha ya mataifa yanayochunguzwa na jopo linashughulikia ulanguzi hususan wa kifedha.Wakili Mwandamizi Mohammed Nyaoga amesema kuwa zaidi ya asilimia 70 ya kampuni za bima nchini Kenya sasa zinatumia majukwaa ya kidijitali kuhudumia wateja akiongezea kuwa akili unde inaweza kutumiwa kugundua ulaghai na kutathmini hatari katika sekta hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News