Skip to main content
Skip to main content

Visa 19 vya udanganyifu vyanakiliwa

  • | KBC Video
    64 views
    Duration: 1:21
    Visa 19 vya udanganyifu vimenakiliwa kwenye mtihani unaoendelea wa kidato cha nne. Waziri wa elimu Julius Migos Ogamba aliyefichua haya leo asubuhi wakati wa ufunguzi wa kasha la mitihani katika kaunti ya Machakos alisema nyingi ya visa hivyo vimenakiliwa kwenye kaunti za Nyanza, Rift Valley na Mashariki. Alisema hatua mwafaka tayari zimechukuliwa dhidi ya wahusika. Ogamba pia amepuuzilia mbali madai kwamba serikali imebadilisha mwongozi kuhusu malipo ya karo za shule. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News