Skip to main content
Skip to main content

Kenya yatilia shaka kimya cha Uganda baada ya kutekwa kwa wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo

  • | Citizen TV
    909 views
    Duration: 1:30
    Zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo kutekwa nyara nchini Uganda, serikali imeelezea wasiwasi wake kuhusiana na kimya cha serikali ya Uganda, licha ya nyaraka mbalimbali na mazungumzo kati ya mabalozi wa nchi hizo mbili