7 Nov 2025 7:26 pm | Citizen TV 3,223 views Duration: 1:29 Maafisa wa usalama kaunti ya Homa Bay wamefanya mkutano wa dharura na wagombea kiti cha eneo bunge la Kasipul kufuatia mauaji ya watu wawili kwenye machafuko ya kampeni za uchaguzi mdogo