Baada ya kuhudumu kwa miaka 33 kwa kujitolea, fundi wa mtambo Juma Kiboi leo alisherehekewa kwa mchango wake mkubwa katika Shirika la Utangazaji humu nchini (KBC). Kiboi, anayejulikana na wenzake kama “Bwana Fix”, amekuwa nguzo muhimu katika idara ya ufundi, akilea vizazi vya wataalamu na kuchangia pakubwa katika mageuzi ya kiteknolojia katika shirika hili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive