Wahisani wamehimizwa kupiga jeki juhudi za kuwasaidia watu wasiojiweza katika jamii. Kulingana na Rais wa chama cha waliokuwa wafanyakazi wa serikali nje ya nchi, Balozi John Kakonge, watu wasiojiweza hususan wazee wanakabiliwa na ufukara, na hivyo ipo haja ya kushirikiana kuwasaidia
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive