- 285 viewsDuration: 1:19Tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi imewasilisha kesi kwenye mahakama kuu kwa nia ya kurejesha shilingi milioni 813 kutoka kwa gavana wa kaunti ya Kiambu Kimani Wamatangi na watu wengine 13 kufuatia madai ya ufisadi na mkinzano wa maslahi kuhusiana na zabuni za ujenzi wa barabara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive