Skip to main content
Skip to main content

Hatimaye wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo waachiwa huru baada ya siku 38 za mateso Uganda

  • | Citizen TV
    6,648 views
    Duration: 3:34
    Hatimaye Wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo wameachiliwa huru, siku 38 baada ya kutekwa nyara nchini Uganda wakisema walizuiliwa na jeshi la nchi hiyo kwa muda huo wote. Wakizungumza muda mfupi baada ya kuwasili jijini Nairobi, Njagi na Oyoo wanasema waliteswa mikononi mwa kikosi maalum cha Jeshi la Uganda, huku wakiwashukuru Wakenya kwa juhudi zao za kushinikiza waachiliwe