Skip to main content
Skip to main content

Mwanajeshi wa Uingereza anayedaiwa kumuua Agnes Wanjiru amekamatwa

  • | KBC Video
    1,644 views
    Duration: 1:36
    Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Renson Igonga amethibitisha kukamatwa kwa aliyekuwa mwanajeshi wa uingereza Robert James Purkiss, nchini uingereza na hivyo kuwezesha juhudi za kurejeshwa kwake humu nchini kuanza kuhusiana na kifo cha mkenya Agnes Wanjiru mwaka 2012. Kulingana na Ingonga mshukiwa huyo alikamatwa kufuatia juhudi zilizoshirikishwa baina ya maafisa wa Kenya na uingereza. Kukamatwa kwake ni hatua muhimu katika juhudi za kutafuta haki zaidi ya mwongo mmoja baada ya kisa hicho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive