Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Maa yakabidhiwa usimamizi wa mbuga ya kitaifa ya Amboseli

  • | KBC Video
    267 views
    Duration: 5:16
    Usimamizi wa mbuga ya kitaifa ya Amboseli umekabidhiwa rasmi kwa serikali ya kaunti ya Kajiado na hivyo kukomesha utata uliodumu kwa miongo mingi kuhusiana na usimamizi wake. Rais William Ruto akihudhuria makala ya 3 ya sherehe ya utalii wa kitamaduni ya jamii ya Maa huko Kimana kaunti ya Kajiado alitoa hati miliki ya mbuga hiyo kwa jamii hiyo kupitia kwa serikali ya kaunti ya Kajiado akitaja hatua hiyo kuwa ya kihistoria katika kurekebisha ukosefu wa haki huku ikidumisha utamaduni na turathi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive