Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya KETRACO, Mhandisi Kipkemoi Kibias, alitembelea eneo la Chesongoch, Kaunti ya Elgeyo Marakwet, ambako alishiriki katika kutoa msaada kwa familia zilizoathiriwa na maporomoko ya ardhi. Mhandisi Kibias aliwasihi wakazi wa maeneo yaliyoko kwenye hatari kuhamia maeneo salama huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive