- 232 viewsDuration: 3:37Serikali ya kaunti ya Mandera imeanza shughuli ya usambazaji chakula cha dharura kwa watu walio katika hatari kufuatia kipindi kirefu cha ukame. Kulingana na gavana wa kaunti ya Mandera Mohammed Khalif, familia takriban elfu 15 katika maeneo ya miji zinahitaji chakula cha msaada. Kundi la matukio ya dharura katika kaunti hiyo linafuatilia hali katika maeneo ya mashinani kubaini madhara ya ukame huo kwa binadamu na wanyama. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive