- 969 viewsDuration: 2:06Askofu mstaafu wa jimbo la Kakamega la Kanisa Katoliki Philip Anyolo Sulumeti amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Mchungaji huyo aliyehudumu kwa kipindi kirefu alifariki jana usiku akiwa katika hospitali moja jijini Nairobi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive