- 191 viewsDuration: 1:46Siku chache tu baada ya nchi ya Tanzania kushuhudia uchaguzi wa rabsha, baraza la makanisa nchini NCCK ukanda wa pwani, limewataka viongozi wa kisiasa kukoma kushiriki kampeni za mapema zinazosheheni maneno ya chuki na uchochezi.