- 8,633 viewsDuration: 2:53Mwenyekiti wa Tume ya haki na Amani ya baraza la Maaskofu Katoliki Nchini Tanzania Yuda Tadei Ruwaichi alikashifu ghasia za uchaguzi zilizoshuhudiwa nchini Tanzania. Akiongoza misa kwa waathiriwa wa ghasia hizo, Askofu huyu Mkuu wa Jimbo la Dar Es Salaam, alilaumu serikali kwa kutumia nguvu akisema adhabu kwa waandamanaji si Kifo. Na kama anavyoarifu Melita Oletenges, Rais wa zamani wa Botswana Ian Khama alikosoa uchaguzi huo akisema hatambui uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.