Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya familia zinawasaka wapendwa wao waliofariki kwenye maporomoko ya ardhi Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    348 views
    Duration: 1:25
    Hali ya majonzi bado inawagubika wakazi wa Chesongoch, kaunti ya Elgeyo Marakwet ambao hadi sasa hawajawapata wapendwa wao waliofunikwa na udongo pamoja na mawe kwenye maporomoko ya ardhi wiki moja iliyopita.