- 396 viewsDuration: 3:18Katika harakati za kuongeza uzalishaji wa chakula na kukabiliana na njaa serikali ya Kaunti ya Makueni imezindua rasmi Sera ya Kilimo cha ekolojia , sera ambayo itasaidia kuimarisha kilimo endelevu na kinachoambatana na uhifadhi wa mazingira. Makueni ni miongoni mwa kaunti ya nne ambazo zimezindua sera hiyo humu nchini.