- 326 viewsDuration: 2:04Kadri mazungumzo ya kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi yanavyoendelea mjini Belém, Brazil, wakulima wadogo eneo la Muvuti, Kaunti ya Machakos, wanasema sauti zao zinatengwa licha ya wao kuwa miongoni mwa wanaoathirika zaidi na janga hili.