Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wamtaka Rais William Ruto kupiga jeki ujenzi wa daraja la Enziu Mwingi

  • | Citizen TV
    274 views
    Duration: 1:23
    Wakazi wa maeno ya Nguni Nuu na Mutitu huko Mwingi kaunti ya Kitui wamemtaka rais William Ruto kuingilia kati kwenye ujezi wa daraja la Enziu ambalo kazi yake imekuwa ikiendezwa polepole.