- 1,396 viewsDuration: 3:12Ukame unaendelea kukumba sehemu kadhaa za Kaunti ya Wajir, hali ambayo imesababisha wakazi na mifugo kukosa maji ya kutosha. Serikali kwa ushirikiano na Mashirika yasiyo ya serikali yanasaidia kusambaza maji kwa malori ila hayatoshi.