- 210 viewsDuration: 4:02Mila potovu na ukosefu wa kujitegemea kiuchumi miongoni mwa wanawake ni vyanzo vikuu vya dhuluma za kijinsia na ndoa za utotoni katika jamii za kaunti ya Busia na nchi jirani ya Uganda .Ili kukabili janga la mila potovu na dhuluma za kijinsia katika jamii, maafisa kutoka kwa shirika la IGAD waliwaleta wadau mbalimbali kwenye majadiliano kuhusu ujumuishaji wa wakazi mipakani na mbinu za kupigana na mila hizo potovu.