12 Nov 2025 10:12 am | Citizen TV 253 views Duration: 2:02 Mzozo katika maeneo ya Gwitembe na Ang’ata Barrakoi katika mpaka wa kaunti za Narok na Migori, unaendelea kusababisha hasara kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo.