12 Nov 2025 10:14 am | Citizen TV 337 views Duration: 1:55 Baadhi ya wanaharakati kutoka ukanda wa Pwani wameiomba serikali kupunguza idadi ya vizuizi vya kudumu katika barabara kuu eneo hilo la Pwani baada ya malalamishi ya muda kutoka kwa wanaosafiri.