- 304 viewsDuration: 1:27Viongozi na wanaharakati kutoka eneo la Gusii wameelezea wasiwasi wao kuhusu ongezeko la dhuluma kwa watoto na kuchangia visa vya minba za mapema. wameihimiza jamii kushirikiana kukabili visa vya watuhumiwa wa dhulma hizo kukwepa mkondo wa sheria wakitafuta suluhu ya maafikiano ya kijamii badala ya kwenda mahakamani.