12 Nov 2025 10:22 am | Citizen TV 318 views Duration: 1:46 Walimu wa secondari msingi kutoka kaunti ya kericho wanataka tume ya kuajiri walimu TSC kuajiri walimu elfu ishirini kwa ajira ya kudumu ili wapate bima ya SHA