- 275 viewsDuration: 1:43Serikali ya Kenya pamoja na ile ya Uganda kwa ushirikiano na shirika la umoja wa mataifa la makazi un habitat zimetia saini mktaba wa kufanikisha juhudi za kuboresha miundomsingi pamoja na makazi ya mji wa Busia upande wa Kenya na Uganda. .