Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa ujenzi wa barabara waandamana Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    2,928 views
    Duration: 1:59
    Wafanyakazi zaidi ya 400 wa barabara katika Kaunti ya Pokot Magharibi wamegoma na kufunga barabara ya Kitale kuelekea Kapenguria hadi Lodwar, wakipinga malipo duni na mazingira mabaya ya kazi.