- 387 viewsDuration: 1:21Waziri wa elimu Julius Ogamba amekanusha madai ya kuwepo kwa shule ghushi nchini na kudai tatizo kuhusu Shule hizo lilichochewa na shule hizo kuchelewa kuwasilisha ripoti na stakabadhi zinazohitajika ofisini mwake kwa wakati unaofaa.