12 Nov 2025 1:20 pm | Citizen TV 285 views Duration: 1:57 Mzozo katika maeneo ya Gwitembe na Ang’ata Barrakoi katika mpaka wa kaunti za Narok na Migori, unaendelea kusababisha hasara kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo.