12 Nov 2025 1:27 pm | Citizen TV 208 views Duration: 2:46 Wazazi wa watoto wenye mahitaji maalum katika kaunti ya Samburu, wamehimizwa kutowafungia nyumbani. Wamehimizwa kuwasajili ili wapate msaada na kukabili unyanyapaa.