- 14,883 viewsDuration: 3:13Viongozi wa upinzani wa Tanzania sasa wameanza kutafuta hifadhi hapa nchini Kenya wakilalamikia hofu ya ati ati ya kisiasa nchini mwao. Baadhi ya wanachama wa chama cha upinzani CHADEMA wamewasili nchini leo kutafuta hifadhi ya kisiasa. Haya yanajiri huku mashtaka ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani wa chama cha CHADEMA Tundu Lissu ikiahirishwa.