- 14,910 viewsDuration: 2:47Serikali sasa imekiri kuwa kina mama wengi wakenya na watoto wao wameendelea kuhangaika nchini Saudi Arabia baada ya kuzaa nje ya ndoa. Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Musalia Mudavadi sasa akisema serikali imelazimika kuingilia kati swala hili kutokana na sheria kali za nchi hiyo ikiwemo kunyimwa usajili wa watoto hao.