Skip to main content
Skip to main content

Rais azindua miradi muhimu katika kaunti ya Kitui

  • | KBC Video
    141 views
    Duration: 5:07
    Rais William Ruto ameliomba eneo la Ukambani kuunga mkono azma yake ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027 huku akiusuta upinzani kwa kile alichosema ni kueneza siasa duni za kupuuza maendeleleo. Rais Ruto aliyeendeelea na ziara yake katika eneo la Ukambani, alisema mrengo wa upinzani hauna mpango bayana wa kuliendeleza taifa hili na akauonya dhidi ya siasa zilizopitwa na wakati. Rais Ruto alisisitiza kwamba wakenya watatathmini uongozi wake kupitia miradi ya maendeleo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive