Benki ya Co-operative Group imenakili faida ya jumla ya shilingi Bilioni 21.6 katika kipindi cha miezi tisa ya kwanza ya mwaka huu, hili likiwa ni ongezeko la asilimia 12.3 ambalo lilitokana na mapato ya juu ya riba. Benki ya Co-operative inanuia kutumia shilingi Bilioni 5.88 kwa mgao wa faida wa muda, ambapo wenye hisa watapata shilingi moja kwa kila hisa. Maelezo zaidi ni kwenye mseto ufuatao wa habari za biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive