13 Nov 2025 9:14 pm | KBC Video 190 views Duration: 1:35 ZIARA YA RAIS RUTO UKAMBANI Ruto : Mahakama ndio imetuzuia kidogo lakini tutaajiri askari elfu-10 zaidi. Kwenye bajeti, tumeweka pesa karibu bilioni-6 za kununua vifaa vya polisi. #KBCniYetu