- 2,033 viewsDuration: 1:04Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja amesema zoezi la kuwasajili makurutu 10,000 sasa litaendelea baada ya mahakama kuondoa amri iliyokuwa imewekwa kusitisha shughuli hiyo kufuatia kesi iliyowasilishwa mahakamani.Kanja amesema zoezi hilo sasa litaendelea, na kuwa makurutu watakaofuzu watachangia pakubwa katika kuleta mabadiliko kwenye idara ya polisi